11 Replies to “Welcome to Mvumi Institute of Health Sciences”

 1. Naitwa Alex lucas wa morogoro, nina matokeo yafuatayo
  1.BIOLOGY=C,
  2.CHEMISTRY=B
  3.PHYSICS=C
  4.BASIC MATHEMATICS=E
  5.ENGLISH LANGUAGE=B
  Je naweza kupata nafasi ya kusoma course ya clinical medicine ngazi ya cheti hapoo chuoni?

 2. Naomba kujua gharama za kozi ya diploma in clinical medicine include hostel and meal + fees zote kwa ujumla na utaratibu wa malipo

 3. Naomba form za ku apply chuoni kwa mwaka 2019/20 intake ya sept 2019 diploma in clinical officer medicine

 4. Naitwa Mstawani B.Magumula, nilituma maombi ya kujiunga na kozi ya Clinical Medicine toka Mwezi Juni, 2019, Naomba kujua kama ilishapokelewa

  Mstawani B.Magumula

Leave a Reply

Your email address will not be published.